Majimbo yapi sasa CCM walishinda au Mlishindwa kihalali au Majimbo yote ya Ubunge, kata za Udiwani na Urais mlishinda?
Tangu 1995 hakuna Uchaguzi ambao hamdai kuwa Hamkushinda.
Dr. Slaa 2010 mlidai kashinda lakin Jk akaiba kura zake lakini cha kushangaza 2015 Nyie wenyewe Mkamsema kuwa Hana Ubavu wa kushinda hivyo ampishe Lowassa! Kama aliweza kumshinda Rais aliepo Madarakani 2010 kwanini hamkuamini anaweza kumshinda Mgombea Mpya Dr. Pombe
Mkuu simaanishu tulishinda majimbo yote but kuna majimbo tulishindwa kihalali mfano kule singida dodoma na tabora probability ya sisi kushinda ilikuwa ndogo sana maana wananchi bado wamelala hawajaamka kifikra ila kuna baadhi ya maeneo hta wwe ni shahidu upinzani ulishinda baada ya nguvu ya umma kutumika kwa mfano ona kma wenje na kafulila yaani waliporwa nje nje njoo huku mbagala na kule mkuranga kote mlifanya uhuni sasa haya yangekuwa solved na tume huru kuliko nyie kutukejeli eti "TUNADAI TUMESHINDA" ssa si mlete tume huru ndio mtuumbue sio maneno matupu wakati tumeshuhudia watu kma silinde na mdee wamerudi bungeni kwa mbinde kweli na nguvu kubwa ya umma kutumika.
Na sio kuanzia 1995..... kuna chaguzi kma 2000 na 2005 naamini kabisa upinzani hku bara hatukushinda japo pia naamini ushindi wa ccm ulikuwa exaggerated sana 80%+??? Anyway tume huru ingesaidia kujua ukweli wa mambo ila chaguzi ya 2010 na 2015 ziko wazi kabisa kuwa wagombea wa ccm walikuwa na kura chache kulinganisha na zilizotangazwa huo ndo ukweli kma nafkiri hta lipumba mlismkia vzuri alivyomuokoa kikwete na cjawahi skia kikwete akikana tuhuma zile.... hata mzee nassor moyo alisema suala hili la kura kutotosha na ikabidi ccm iokolewe na NEC na ZEC 2010.
2015 staki kusema mengi ila naamini lipo wazi kwa kila mtu kuwa lowassa alishinda na hili kaulize hata kinana privately atakupa majibu mie sina muda wa kubishana wakati wenye facts ndani ya ccm wanalikubali hili.
Pia jiulize tu huyu lowasa kma alishindwa kwanni basi ccm wamfanyie figisu zote hizi?? Kma alishindwa kwanni waogope asizunguke nchi??? Kwanni wanafungia mikutano??bunge live? Sheria kandamizi kma cybercrime na huduma za habari??? Kwanni ?? Why now magazeti yanabanwa mfano mawio je magufuli angeshinda kihalali si angewadharau wapinzani kma kikwete aliposhinda 2005?? Logic ifanye kazi hapa the rest mtafute kinana
Kuhus dr slaa labda niseme chadema imekuwa na trend ya kubadilisha wagombea urais na hii ni strategy labda ya ku counterattack maadui ili wasiweze kubashiri nguvu ya mgombea anayekuja kwa mara ya kwanza maana nahisi kabisa ccm walikuwa wamejiandaa na dr sla 2015.....
Pia uwezi sema kwakuwa alishinda 2010 bas angeshinda 2015... trend zinabadilika mkuu ni kma useme kwa kuwa mrema alishinda 1995 basi agombee tena 2020?? Tuwe wakweli dr slaa wa 2010 sio dr slaa wa 2015 kumbuka 2010 alitokea bungeni alipojenga popularity kubwa kupitia hoja nzito sasa kukaa bungeni possibly kulipunguza forum kubwa zaidi ya kuonesha mchango wake na hivo ungeweza muongezea popularity zaidi kufkia 2015 na kwa kuliona hilo yeye na kuweka other factors licha ya kuwa alithibitishwa kuwa mgombea toka january 2015 aliona amlete lowasa ili aweze kuongeza nguvu kwenye uhuru wa pili wa tanganyika.
ila msichokijua ni kuwa dr slaa alimshawishi lowasa aingie chadema na alimtaka agombee urais sema tu alizuiwa na mkewe ssa how dare u say tulimuacha dr slaa tukamchukua lowasa as if dr slaa hakumleta yye lowassa
Hta 2020 mmejiandaa na lowasa but TIME WILL TELL mtashtukizwa tena na uchaguzi huuu mtapelekwa mpela mpela na inshallah Mwenyezi Mungu atujalie tupate katiba mpya yenye tume huru ccm tutaifuta kote bara na visiwani.
So hoja yangu hapa ni kuliko kutukejeli shauri watawala wenzako walete tume huru ndio tutajua mbivu na mbichi ama sisi wa kweli ama nyie wakweli...... i rest my case