Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,525
51,203
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.

Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?
 
nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler.na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?
Wanakula kuku wa kizungu.Kuku akiwa kwa wazungu na yeye ni mzungu.
NB:Wanakula kuku wa asili/wanaowafuga vema.
 
Kuku wa kienyeji wapo..Kuna maduka ya Waafrika na hata Wachina. Sikumbuki mara ya mwisho kula kuku wa kizungu...
Wa kienyeji wapo wengi tu.

Pande za huku kuna watu wengi tu wanawafuga.

Majirani zangu wanafuga hao wa kienyeji. Wanafuga na mbuzi pia 😀.

Pia farmer’s markets huwa zina options nyingi, ikiwemo kuku wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom