Mlima Kilimanjaro waanza kuungua tena

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,800
Moto mwingine ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka tena katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro eneo la Indonet Rongai wilayani Rombo tangu Septemba 3, 2023.

Taarifa iliyotolewa na TANAPA imeeleza kuwa jumla ya wazimaji moto 134 walipelekwa katika eneo hilo wakiwemo askari na maafisa wa Jeshi la Uhifadhi, Jeshi la Akiba na wananchi wa vijiji vya jirani na kwamba mpaka sasa umefanikiwa kudhibitiwa kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom