Mlima Kilimanjaro upo Tanzania

Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
10,986
20,401
Kichwa cha habari kinahusika...

Wale majamaa wa nchi jirani wanaoongoza dunian kwa kupigwa na wake zao kila kitu kilichopo tanzania wao wanakitangaza kimataifa kuwa kipo kenya.....

Leo naanza rasmi kampeni maalumu ya kutangaza maliasili zote zilizopo tanzania ambazo manyang'au yamekuwa yakisema zipo kwao kenya.....

NIMEANZA NA MLIMA KILIMANJARO.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…