Watanzania wamekuwa katika hali ya kufadhaika sana kutokana na unyanyaswaji unaofanywa na tuliowapa nafasi ya kuongoza nchi.
Hao ndio walioamua watanzania ml 37 wasiangalie wawakilishi wao wanapowawakilisha pale bungeni.
Hao ndio wameamua watanzania wasilalamike kuhusu njaa inayowatesa
Hao ndio wamezuia mikutano ya kisiasa nchini hadi 2020
Hao ndio wanafanya kila wanachotaka huku wakisahau kuwa kuna mamilioni ya watanzania ambao sio wanachama wao
Mungu awasamehe