Mkuu wa Wilaya Iringa, Kasesela amefiwa na dada yake

Pumzika kwa amani dada,mama,bibi. Pole sana kwa wafiwa
 
Pole sana mkuu Richard Kasesela kwa msiba wa Dada yako. Mola akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu cha kundokewa na Dada yako kipenzi Kiasi cha kubaki wewe mwenyewe tu (wa kuzaliwa tumbo moja).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…