JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,749
- 6,570
Hata Mimi huwa najiuliza swali kama lako maana viongozi wengi wa Polisi ni Mazuzu kiliko Askari wa chini.Hivi vyeo jeshini sijui huangalia nini zaidi...
Wakazungumze magendo au nyumba ya wageni? Achague mojaKutokana na malalamiko ya rushwa dhidi ya askari Polisi Usalama Barabarani (Trafiki), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku madereva kushuka na kuwafuata askari nyuma ya gari.
Mutafungwa alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Gazeti la Mwangaza kuhusu malalamiko ya rushwa dhidi ya askari wa Trafiki wanaosimamisha magari hasa daladala na madereva au makondakta kuwafuata na ‘kumalizana’ nao.
Mutafungwa alisema pamoja na madai ya rushwa kwa baadhi ya askari, lakini wapo waamifu wanaozingatia maadili na ndiyo maana licha ya kuwapo magari mengi nchini, lakini usalama barabarani upo kwa kiwango kikubwa.
"Lakini Jeshi ni taasisí kubwa, wapo wanajitokeza wachache wakajihusisha na vitendo vya rushwa, hivyo kwa hao wachache huwezi kusema Jeshi zima linahusika na rushwa," alisema Kamanda Mutafungwa.
Alisema Jeshi lina mifumo ya kuwachukulia hatua wala rushwa kama ilivyowekwa kwenye taasisi zote za Serikalı kuwa rushwa haitakiwi.
"Katika utekelezaji wa majukumu yetu, wanaokwenda kinyume wanachukuliwa hatua mbalimbali zikiwamo za kushitakiwa huku wengine wakifukuzwa kufikishwa mahakamani,” alisema Mutafungwa.
Akitoa mfano wa suala la rushwa na namna wanavyolishughulikia, Kamanda Mutafungwa alisema hivi karibuni alionekana askari kupitia mitandao ya kijamii, akijihusiha na vitendo rushwa Iringa, Polisi haikusita kumchukulia hatua kali za vya kinidhamu, ikiwamo kumfukuza kazi.
"Kwa vile umeongea suala la rushwa na mimi nitoe mwito, kwamba kupokea na kutoa rushwa yote ni makosa, kwa hiyo hata wanaojihusisha na vitendo vya rushwa wawe madereva au wamiliki wa magari, tunawataka waache kushawishi askari wetu, kwani kufanya hivyo pia ni kosa.
“Kwa hiyo, tunapoitazama rushwa tusitazame tu kwa wanaopokea, kutazama tunatakiwa pia wanaotoa, kwa kufanya hivyo tutaweza kukomesha vitendo vya rushwa,” alisema Kamanda Mutafungwa.
Hata hivyo, alisema katika usimamizi wa sheria kwa askari, wanawaelekeza wote kufanya kazi katika mazingira ya uwazi.
“Askari anapokamata mtu aliyevunja sheria za usalama barabarani kwa maana ya dereva, askari anatakiwa kumwajibisha katika hali ya uwazi, ili abiria kwenye gari hilo, waone hatua alizochukuliwa dereva wao.
"Daladala linakamatwa, kondakta anakimbia kwenda kwa askari, hii haitakiwi kabisa na tumeshalipiga marufuku. Kondakta amfuate trafiki kwani yeye ndiye anaendesha gari?
“Askari anayesimamisha gari, anatakiwa kulisogelea nabkumwajibisha dereva mbele ya abiria, wasikie kosa la dereva wao, si kwenda kuongelea kwenye uficho. Wanatakiwa kufanya kazi katika mazingira ya uwazi.”
Alisema katika kutanya hivyo, Dar es Salaam, vituo vya ukaguzi wadaladala vimepunguzwa baada ya kukaa na viongozi wa daladala na kukubaliana kuvipunguza.
“Mwito wangu ni kuwa askari anaposimamisha gari anatakiwa kulifuata lilipo na kufanya mahojiano kwa uwazı,” alisema.
Source: Mwangaza
Halafu viatu vya polish waache wavae raba!Kutokana na malalamiko ya rushwa dhidi ya askari Polisi Usalama Barabarani (Trafiki), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku madereva kushuka na kuwafuata askari nyuma ya gari.