Mkuu wa nchi alipoamua 'kuchafua mikono yake'

Yaani hapa nimeshauza mifugo yangu yote mashamba yote biashara zote piga mnada nasubiri tu siku anahama magogoni niinunue ikulu hiyo nikaishi huko
 
Reactions: SDG
Hivi hiz pesa za kuhamia Dodoma ndio zilikuwa zimepangwa kwa ajili ya nyongeza ya mishahara?.
 
Kuhamia Dodoma kutarahisisha upatikanaji wa wekezaji ambao wanatamani kuzifikia ofisi za idara mbali mbali kwa urahisi ili kutimiza ahadi ya kujenga viwanda nchi nzima
 
Hayo matofali mbona sio imara why ? WanAchakachua wajifunze kwa wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…