Mkuu wa Majeshi Sudani Kusini ana Wake 38, Watoto 127

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
Nimekutana na taarifa kuwa Mkuu wa Majeshi ya nchi changa zaidi barani Afrika Sudani Kusini Army Chief Malong ana jumla ya wake 38 na watoto 127...

Bwana Malong analazimika kukodi mabasi mawili kupeleka watoto wake shule nchini Uganda...

Nchini Sudani Kusini inasemekana ni kawaida kwa watu wenye nguvu kwenye jamii na utajiri mkubwa kuwa na tabia ya kuoa wake wengi sana...

Inashangaza kuona mwanaume mmoja mwenye majukumu ya Ulinzi wa nchi ana uwezo wa ku "SPREAD DNA" katika kiwango cha namna hiyo...

Kuna haja ya kuchunguza hawa watu wenye ngozi nyeusi zaidi...
 
Amekwenda kinyume na agizo la mtume Muhammad Saw alisema waoe wanawake mwisho wanne tu. Haya sasa uislamu unadhalilishwa tartiiiib
 
Mwanamme mmoja anaweza kuwazalisha wanawake zaidi ya 1000.
 

Tupicha;
 
Kawekeza kwy mahaba zaidi badala ya kwy mabiashara na ujarisiamali!
 
Huyo ni mkuu wa majeshi na pia mkuu wa "nyuchiz". Jina jingine linalomfaa ni "Pure African Magic".
 
Bado hajapata ukimwi ?
 
Katika jamii iliyo nyuma kama Sudan ambako fursa ni finyu sana au hazipo kabisa kwa wanawake, ni jambo la fahari kuolewa na mtu mwenye nguvu/status ya juu kwenye jamii hata kama ana wake 70. Ndiko tulikotoka hata sisi huko, kwa wale wajukuu wa watawala wa jadi wanaelewa. Utasikia babu alikuwa na wake 10. Vichwa 127 kwa uchumi wa Sudani Kusinu hata cha kuiba hakipo sijui anasomeshaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…