haya mambo ya kuitegemea serikali itoe elimu bure na wakati imeshindwa matatizo mengine lukuki ya elimu kama vile nyumba za walimu, umeme,maabara, madarasa na madawati naona tunajidanganya , magufuli ashuke tuu chini akiri kuwa zile zilikua ni ahadi ambazo alizitoa ili kumpiku lowassa, maana itajaleta matatizo balaa na kuzidi kuharibu elimu yetu