Mkutano wa G20 Waunga Mkono Kujengwa Reli ya Kutoka DRC na Zambia Mpaka Angola

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,887
4,830
Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola.

=====

African Union now a permanent G20 member
The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday.

There was widespread support for adding the AU to the G20, making it the second regional bloc to become a permanent member after the European Union and adding momentum to Modi's drive to give a greater voice to the Global South.

The continent was thrust into the spotlight as well by the earthquake in Morocco, which happened while most of the delegates gathered in New Delhi were asleep. Modi offered condolences and support in his opening remarks.

Von der Leyen described the project as a "green and digital bridge across continents and civilizations." She added that it includes cables to transmit electricity and data.

She also announced a "Trans-African Corridor" connecting the Angolan port of Lobito with landlocked areas of the continent: the Kananga province in the Democratic Republic of Congo and the copper-mining regions of Zambia.

Speaking of the African project, Biden called it a "game-changing regional investment" and said "both of these are huge, huge steps forward."

Amos Hochstein, Biden's co-ordinator for global infrastructure and energy security, laid out a rough timeline for the project over the next year.

Source
 
Jonas Savimbi alitukatia pande tukashindwa kulitumia vizuri miaka na miaka. Ilikuwa ni fursa muhimu ya kibiashara kwa Tz miaka ile. Anyway, sababu zile hazipo tena wacha wajenge hiyo reli. Tupambane na hali zetu.
 
Niliwahi andika mada ya hivyo humu ndani watu wakanibeza,inaitwa reli ya benguela
 
Tuna shida kubwa sana ya kufikiri, kwasasa hatuwazi ni kwa namna gani tunaweza kuwa kitovu cha nchi zinazotuzunguka tukiachana na mambo ya reli na barabara au kwa ujumla usafirishaji.
Ata kama tungejenga reli na kuboresha bandari zetu namna gani tusingeweza kuwazuia nchi nyingine kuendeleza za kwao.
Nchi kama Norway inajiendesha kwa biashara ya Uvuvi, je sisi tunashindwa nini wakati tunao mwambao mkubwa sana wa bahari?
Je, hatuwezi kulisha nchi zingine kwa chakula? Shida ni kuwa kila sekta tunagusa na kuacha.

Tukubali kutenga bajet kubwa kwenye upande wa Kilimo na Uvuvi pamoja na ufugaji siyo ujingaujinga tunayowaza.
 
Jonas Savimbi alitukatia pande tukashindwa kulitumia vizuri miaka na miaka. Ilikuwa ni fursa muhimu ya kibiashara kwa Tz miaka ile. Anyway, sababu zile hazipo tena wacha wajenge hiyo reli. Tupambane na hali zetu.
ccmu wamelewa madaraka hawaoni mbele
 
Tuberose reli ya Mbeya Dar es Salaam kwa haraka sana, la sivyo tutapoteza mapato muhimu kwa uzembe na slowness.
Ndio maana yule mzee alikuwa anaikimbiza sana, sasa walafi ndio wako kwenye usukani yaani hakuna kitu
 
Ni vigumu sana Kwa nchi za East and central Afrika kukwepa bandari ya Dar es salaam ni kama binadamu na mwanga wa jua
Huu ndiyo ukweli kwanza bidhaa nyingi zitakazopita huko ni zile za kutoka Europe nchi ipi ya Africa itaweza kununua bidhaa kutoka Europe ?

Pili Umbali wa kutoka Angola hadi Bukavu ni karibia mara tatu ya distance ya kutoka Dar es Salaam mpaka Bukavu na Goma.

Vipi kuhusu usalama kuikata misitu ya Congo mpaka Goma na Bukavu ?
 
Tuna shida kubwa sana ya kufikiri, kwasasa hatuwazi ni kwa namna gani tunaweza kuwa kitovu cha nchi zinazotuzunguka tukiachana na mambo ya reli na barabara au kwa ujumla usafirishaji.
Ata kama tungejenga reli na kuboresha bandari zetu namna gani tusingeweza kuwazuia nchi nyingine kuendeleza za kwao.
Nchi kama Norway inajiendesha kwa biashara ya Uvuvi, je sisi tunashindwa nini wakati tunao mwambao mkubwa sana wa bahari?
Je, hatuwezi kulisha nchi zingine kwa chakula? Shida ni kuwa kila sekta tunagusa na kuacha.

Tukubali kutenga bajet kubwa kwenye upande wa Kilimo na Uvuvi pamoja na ufugaji siyo ujingaujinga tunayowaza.
Usilinganishe Tanzania na Norway,Kule Kuna wajasiriamali wanaoweza kuingiza Hela zao kwenye maji,sisi huku hatuna watu wanmna hiyo,huku kwetu mtu alipata fedha anawaza kujenga au kununua mabasi.
 
Back
Top Bottom