Hapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kabla ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.Hongera kwao....inakaribia miaka saba sasa tangu watume maombi yao.
Naiona Zanzibar ikifanya vizuri kuliko Tanganyika Stars!
Sasa ikitokea tunacheza nao katika mashindano ya Afcon.......timu kutoka Tanganyika itapeperusha bendera gani?
Itaimba wimbo upi wa Taifa
Zanzibar ni nchi, warudishiwe na kiti chao UN.
Karume aliwaingiza mkenge.
Sawa DaudiNgoja wataalamu wa mambo ya michezo na mambo ya Muungano waje waanze kudadavua ili na sisi akina Bashite tupate uelewa.
Hapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kaa ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.
Kwani si wana bendera yao na nyimbo yao nadhaniNimemuuliza Jamal Malinzi naona bado ananitafutia jibu?
Wakati rukiendelea kutafakari.Kwenye Challenge si huwa tunakutana nao hawa ndugu zetu?Nyimbo huwa wanapiga zipi?Ila hii inaweza kutrigger wakaanza kuomba na vitu vingine na hatimaye kuleta vurugu kwenye Muungano (Na declare interests mm mpenzi wa Muungano wetu)Je hii itaanza rasmi lini?
Hongera zao!!!
Nimemuuliza Jamal Malinzi naona bado ananitafutia jibu?
Great thinker......Hongera kwao....inakaribia miaka saba sasa tangu watume maombi yao.
Naiona Zanzibar ikifanya vizuri kuliko Tanganyika Stars!
Sasa ikitokea tunacheza nao katika mashindano ya Afcon.......timu kutoka Tanganyika itapeperusha bendera gani?
Itaimba wimbo upi wa Taifa