A
Anonymous
Guest
Sisi baadhi ya walimu wa wilaya ya Busega ambao tuko 153,mnamo mwezi wa 7/2024 tulimwandikia mkurugenzi wetu ndugu Marco Kachoma barua ya kutuondoa chama Cha walimu CWT na kutuhamimishia chama Cha walimu CHAKUHAWATA,mkurugenzi huyu hakutaka kutekeleza jambo Hilo na mwezi wa nane kiongozi wetu alimfuata na kumuomba atekeleze jukumu la kutuhamisha kutoka CWT,bwana Kachoma alimfukuza ofisi kama mwizi na akampiga ,arufulu kukanyaga ofisini.
Baada ya hapo tulipeleka malalamiko yetu Kwa katibu tawala wilaya ya Busega ambapo alishauriana na mkurugenzi lakini bwana Kachoma aligoma,baada ya kutopata msaada tulienda Kwa mkuu wa wilaya ambaye naye aliahidi kuongea na huyu mkurugenzi lakini naye hakuelewana na bwana Kachoma.
Tumeendelea kuvutana na huyu mkurugenzi toka mwezi wa saba Hadi mwezi wa tisa tulipoandika barua Kwa katibu mkuu kiongozi ya kuelezea malalamiko yetu na baadae katibu mkuu aliandika barua akimtaka bwana Kachoma azingatie sheria na atekeleze takwa letu na kisha atupatie majibu lakini Cha ajabu Hadi Sasa mkurugenzi wetu bwana Kachoma hataki kutuondoa CWT ma wala hataki kutujibu
Sasa sisi walimu tunajiuliza ikiwa BWANA KACHOMA kamgomea katibu mkuu kiongozi ambaye ni mkuu wa watumishi wote, je atamtii nani? Na kipi kifanyike ili tupate Haki yetu?
Naomba mamlaka ya uteuzi iingilie kati ,hakika bwana Kachoma sio tu mkaidi Kwa jambo hili Bali tangu afike hapa wilayani kwetu amekuwa mtu wa kiburi na jeuri hivyo kupelekea kushusha Ari ya watumishi .
Kiambato