informer 06
Member
- May 11, 2024
- 53
- 29
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) πͺππΊ ππππππππππΊππΊ ππΊ π²πΊππΊπΊπ π§πΎπΊπ
ππ π³πΎπΌπ π«π³π£ imezindua rasmi huduma ya kuwahudumia wagonjwa wakiwa majumbani au nje ya hospitali kwa kutumia vifaa vya teknolojia ya kisasa.
Uzinduzi huo umefanyika Mei, 29 π€π’π€π¦ Jijini Dar es Salaam kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali huku mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Akitoa hotuba yake Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila ameipongeza taasisi ya moyo kwa kufikiria juu ya huduma hizo zitakazowezesha kuwahudumia wagonjwa wakiwa nje ya hospitali.
Amesema kuwa suala hilo ni jitihada za Serikali katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ambukizwa ambayo amesema kuwa kwa sasa ni changamoto kwenye bara la Afrika.
Amedokeza kuwa Marais wa Afrika walikaa vikao kujadili changamoto hiyo, hivyo amedai kuwa teknolojia hiyo ni ubunifu unaonesha wazi dhamira ya Serikali katika jitihada za kukabiliana na athari za magonjwa yasiyoambukiza.
π ππ½ππΊ Mkurugenzi wa JKCI, Dr Peter Richard Kisenge alisema teknolojia hiyo inatoa fursa ya kuhudumia mgonjwa akiwa nyumbani nje na hospitali
Mkurugenzi wa JKCI, Dr . Peter Richard Kisenge πΊππππΊ πΊππΊπππΎπππΊ πππΏπΊπΊ πππΊ πππππ πΎπΊ πππ½πππΊ, πΊππΊπ π ππΊπ»π πΊ ππΊ πππππ½πππ ππΊπππ
βHii ni huduma mpya ya teknelojia ya hali ya juu ambapo chini ya godoro la mgonjwa kitawekwa kifaa maalumu kinachojulikana kwa jina la DOZEE ambacho kinamtetemo na kuweza kusoma shinikizo la damu, kiwango cha hewa mwilini, mapigo ya moyo na umeme wa moyo iwapo kutakuwa na shida taarifa itatumwa moja kwa moja kwa daktari kupitia simu yake ya mkononi ambayo itakuwa imeunganishwa na kifaa hichoβalisema
Kupitia teknolojia hiyo baada ya madaktari kupata taarifa kulingana na kinachoonekana kwenye teknolojia hiyo, wanatuma gari la wagonjwa ambalo litakuwa na daktari bingwa wa moyo pamoja na muuguzi ambao watakwenda kumuhudumia mgonjwa
Itakumbukwa Dkt. Peter Kisenge wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu huduma hizo zitavyotolewa alisema huduma hizo itasaidia kupunguza vifo vya ghafla vya wagonjwa pamoja na kuokoa muda wa kuwapeleka hospitali.
Katika uzinduzi huo rasmi Dkt. Kisenge ameeleza ambavyo tayari teknolojia hiyo imeanza kuokoa maisha ya wananchi.
Amedai kuna mgonjwa (jina lake limehifadhiwa) aliwekewa vifaa hivyo, lakini akiwa nyumbani waligundua mapigo yanaenda kasi zaidi kwenye kiwango kinachoweza kuleta athari hivyo waliwai pale alipo na kumpatia huduma, ambapo amedai kuwa anaendelea vizuri, jambo amesema kama teknolojia hiyo isingekuwepo mgonjwa huyo alikuwa na asilimia chache za kupona.
Ameongeza kuwa kwa sasa Taasisi hiyo inaendelea kusogeza huduma kwa wananchi kwenye maeneo mbalimbali, ambapo amebainisha wazi kuwa wapo kwenye mchakato wa ujenzi wa hospitali wilayani kwa ajili ya kutoa huduma kwa wenye magonjwa ya moyo.
Pia amesema kuwa wameendelea kuboresha huduma zao kwa kuongeza utaalamu kwa wafanyakazi wao pamoja miundombinu mingine ikiwemo vifaa vya kisasa.
Sanjari na hayo Mkuu wa Mkoa katika hotuba yake amesema kuwa sekta ya Afya inaonekana kupiga hatua kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hausishi siasa kwenye masuala ya kitaalumu kitabibu.
"Mdudu mkubwa anayemomonyoa sana makuzi ya sekta ya afya uwa ni siasa".
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi huo wamepongeza JKCI kuja na huduma hiyo ambayo inatajwa kuwa inapatikana kwenye mataifa machache hususani barani Afrika.
'JKCI yapata ithibati ya kimataifa'
Awali mapema Dkt. Peter Kisenge alitoa taarifa kwa umma ikieleza kwamba Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) imepata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012) ya kutambulika kama maabara yenye ubora wa kidunia.
Alisema kuwa ithibati hiyo imetolewa na Shirika la kimataifa la viwango (ISO) kama maabara inayoaminika katika vipimo.
βInaamini katika kupima magonjwa na tafiti na hii ni historia kubwa ambayo taasisi imepata nimshukuru Rais Samia kwa kuwezesha ununuzi wa vifaa na wataalamu kwasababu wanapokuja kufanya ukaguzi wanaangalia eneo lililohusika, watu wanaofanya vipimo na vifaa wakiridhika unaweza kupata ithibati." alisema Mkurugenzi huyo wa JKCI
Aliongeza βNi kitu kigumu maabara nyingi za Afrika Mashariki na kati hazipati ithibati kama nchi tumeandika historia kubwa sana.
Pia alidai kuwa kutokana na kupata ithibati hiyo kwa sasa Nchi yoyote inaweza kuleta vipimo na vikafanyika kwenye hospitali hiyo ikiwemo wale wanaofanya tafiti mbalimbali za kidunia.