mi nataka kujua video 'kwini' wa huo wimbo ni nani...basi hicho tu!Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.
Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Top Band kabla ya kuachana na kila mtu kufanya mziki kivyake (Solo).
Sasa wamerejea na kutoa kibao hiki matata ambacho kimenitia wazimu kabisa maana hapa tu ninapoandika hii post kiuno kinauma kwa kuserebuka....lol
....
wacha weee...naomba waione hii post yako huenda ikaleta radha mpya kwenye mziki wetu siyo kila siku hao hao tu!!...akina Q-Chillah wangeniomba ningewafanyia mabalaa tena free of charge.
[URLhttp://djkidemnyama.blogspot.com/2015/11/new-music-audio-q-chilla-ft-tid-mkungu.html?m=1][/URL]Ni kibao kipya,sina uhakika kama video tayari.
Hata kuattach audio sijui,ningeweza ningewawekea.
Itabidi Video uombe uwe featured kwenye mduara...Wametoa audio tu,video bado.
Acha tu na leo nimevaa hills najutraaa,hiki kibao hatari tupu.
Tafsiri ya uo wimbo hasa neno "mkungu wa ndizi" ni nini?Wametoa audio tu,video bado.
Acha tu na leo nimevaa hills najutraaa,hiki kibao hatari tupu.
urushiepo hapa basi...Mkuu mimi nina audio tu,ni shida tupu.
Q-Chillah anajua bwana,utafute uusikilize kisha unipe mrejesho.
Asante sana mkuu,shukrani.Watu kweli uelewa ni kazi ndo maana mnasoma wote darasani wanafauru wachache yeye anasema wimbo wa chilla na tid umerudisha heshima wewe unaulizia video mara tuwekee link ya video wewe ili ujue wimbo ni mkali mpaka uone video yake wimbo mkali anaamaanisha utunzi wa mashairi aina ya midundo iliyotumika na dogfather kashawaharibu baada ya kusema dah wimbo wako mzuri saivi mnasema video yako nzuri vp kuhusu audio c nzuri c kila ngoma iwe na video hapa anazungumzia single mpya ya Q Chilla ft Tid inaitwa mkungu wa ndizi kama bado ujaisikiliza link hii hapa http://djkidemnyama.blogspot.com/2015/11/new-music-audio-q-chilla-ft-tid-mkungu.html?m=1
Teh teh..Mkuu vingi sana utakuwa haujasikia..Inakuwaje kibao hiki hujakisikiaNgoja niutafute niuangalie maana ukiona paka nifah kasifia ujueee....