Mkumbuke daima kuwa mtengeneza sigara havuti sigara

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
3,024
9,145
Zuckerberg anagonga kitabu hapo, ila mdogo wako tangia saa moja asubuhi hadi saa sita usiku yupo facebook anatafuta likes.

Screenshot_20230805_070417_Quora.jpg
 
Hii ya Mark Zurkeberg siyo kweli!? Mtumiaji namba moja wa facebook ni yeye mwenyewe coz ndo ofisi yake ndo anakopatia mkate wa kila siku.

Sema matumizi yake ni kumake money siyo ku refresh mind kama sisi.

Na facebook siyo mbaya kuna wadau wametajirikia humo.

Mfan mtu mwenye magroup ya kuuza malaya anatoa connection hadi kwa 20000.

Magroup ya matangazo
 
Mleta mada unaongea nini?

Mbona mimi makala nyingi za maarifa nazisoma Facebook? Au wewe hujaona makala za Technology, Dini, Forex huko Facebook?

Umemuona kashika kitabu anasoma na hujui kitabu kinahusu nini, Je ndani ya simu hakuna sites za vitabu vyenye madini mazuri?
 
Back
Top Bottom