Kama una uwezo wakijilipia ada ya chuo kikuu ata iwe kwa shida na kushauri jilipie tu, HESLB ni kikwazo cha maendeleo kwa wafanya kazi baada ya kugraduate huchelewasha maendeleo kwa sababu ya accumulative riba kwa hiyo loan ulio ichukua.
Kadri miaka inavo pita na marejesho mkopo kupanda, wakati ajira ni changamoto hata kwa waalimu madakitari nesi nk.
Naona kuna haja ya serikali itafute namna nyingine ya kusaidia watoto wanao toka kwenye familia zenye vipato duni kjliko kuwakopesha, kukopa ni kuendeleza ule umasikini wa kipato kwa hizo familia, graduate moja wa Tz kiwasitani ana uhudumia/ au anategemewa na ukoo mzima.