Mkopo bila riba

Jumbe Adarusi

Senior Member
Oct 18, 2012
105
78
Habari zenu ndugu,

Naomba kwa anaejua, je ni benk au taasisi gani ya kifedha inayotoa mkopo bila ya riba.Mungu atuongoze.
 
habari zenu ndugu, naomba kwa anaejua, je ni benk au taasisi gani ya kifedha inayotoa mkopo bila ya riba.. Mungu atuongoze
Duh nenda bank za kiislam Ila hata hizo bank za kiislam hamuiti riba ila ni kitu Kile kile Hakuna mkopo wa bila faida
 
ha ha ha mkopo bila riba hautapata bank yoyote labda ukakope kwa ndugu na jamaa zako
 
Kuna Hii Inaitwa Amana Bank... Ni ya Kiislam nasikia Inatoa Mkopo Bila Riba ila mashart Yake siyajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…