Machepele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 330
- 475
Nawasalim....!
Yesu alibeba dhambi za wanadamu, alikubali kusurubiwa na kuteseka hata kufa ili sisi wanadam tuokolewe.
Imagine mwana wa Mungu alisurubiwa bila hatia miaka 2000 iliyopita, imagine alikula, kunywa na kuambatana na watu ambao miongoni mwao walikuja kumsaliti, hata pale alipo wataja kwa majina bado walikataa kuwa wapo pamoja nao.
Basi miaka ya hivi karibuni 2015 - 2021, alitokea mtumishi mmoja wa umma, ambaye kwa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania anajulikana kama Rais wa Jamhuri ya Muungano w Tanzania, Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli.
Huyu alikubali kusurubiwa, kusemwa, kulaumiwa na kujitoa kwa ajili ya watanzania 'ALIJISAKARAFAISI' ili sisi watanzania tuishi vizuri siku moja.
Kwangu mimi binafsi, Rais Magufuli ni mmoja kati ya marais niliowapenda sana kupata kuongoza nchi hii, lakini kwa bahati mbaya alifariki mwaka 2021. Kabla hajafariki Rais Magufuli, aliambatana na watu katika serikali yake, ambao aliwachagua kama alivyofanya Yesu, cha ajabu walimsaliti.
Imagine: Makamba Junior, huyu ndo wa kusema aliyoyasema, kuna huyu Shangazi Jokate mwengelo, huyu ndo wa kusema anayoyasema?.
Kwa ufupi Magufuli naona amekuwa mbeba dhambi za makosa yote ya CCM, anatupiwa lawama ambazo si zake lakini huko aliko anashangaa kuona wanaomtupia lawama hawakupaswa kufanya hivyo.
Hivyo mtazamo wangu kuna namna Magufuli nyota yake ilikuwa ni kali sana kiasi cha kusemwa hata akiwa hana uhai.
Anyway!
Machepele kwa sasa, Kahama Tanzania.