Mkojo unatoa harufu ya dawa ninazotumia

Ben-adam

JF-Expert Member
Jun 2, 2023
1,031
2,280
kwanza Namshukuru sana M/Mungu mimi tangu nijitambue sijawahi kutumia dawa tofauti na za maumivu na mafua!

Wakuu nikimeza dawa hizi, muda mfupi baadae nakojoa mkojo wenye harufu ya vidonge mtupu, nikienda chooni hivyo hivyo! yaani ni ile harufu ya dawa nilizomeza mpaka nakuwa na hofu

Wakuu hili ni tatizo au hali ya kawaida?
 
Ni jambo la Kawaida, kunywa maji pia kula mboga nyingi za majani
 
Back
Top Bottom