mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 697
- 2,421
Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote kunaonekana hakuna shida, nimetumia Sana antibiotics na miti shamba Bado tatizo lipo, wiki iliyopita nilikuwa nakojoa mara mbili mbili , ghafla hali ikakataa Jana na kwa mara ya kwanza usiku wa Leo sijaamka kukojoa sasa asubuhi Leo nimeamua kuchukua chombo nicheki mkojo naona uteute wa kutosha kwenye mkojo najiuliza shida nini
n:b sisikii maumivu yoyote ila hali hii inanitisha , mke wangu yupo mbali kikazi Huwa tunaonana mara chache hata kwa miezi miwili mnaona weekend Moja je hii inaweza kuwa shida lakini njia ya mkojo na njia ya uzazi kwa mwanaume vinatofautiana je nini inaweza kuwa sababu