jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,022
- 4,236
Habari za wakati huu
Ukiona mwanamke ametoka kujifungua na anakubania sana kukupa utamu ndugu yangu hata ukibembeleza na kuomba sana akupe penzi na hakupi bali anakuzungusha miezi na miezi na hatimae hata miaka , nenda tuu kapime DNA usije ukalazimisha mwisho wa siku ukaharibu mtoto wa mwanaume mwenzako,