Mkenya abeba bendera ya Uturuki kwa furaha kabisa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Huyu Mkenya (pichani chini) kanunuliwa na Serikali ya Uturuki ili aiwakilishe nchi hiyo ambayo imeshindwa kukukuza vipaji vyake yenyewe!







Hapa akifurahia ushindi alioiletea nchi ya Uturuki!





Hapa Mkenya huyo akionyesha medali ya dhahabu aliyoiletea nchi hiyo ya Uturuki!
 
hapa mkenya ako chooni



hapa mkenya huyo huyo anaandamana akitaka kupindua serikali sababu ya unga




hapa kwengine mkenya mwengine amenyamba , acha ni muanzishie mada yake hapa jf
 
Amepeperusha bendera ya uturuki kwa sababu amelipwa kwa ajili hiyo lakini ana furaha kwa sababu kwake ni ushindi binafsi pia...

Usisahau mrisho mpoto Alinunuliwa ili aipaishe bendera ya Kenya huku akiwa mwanamashairi mzuri asisitizae uzalendo nchini ...
 


Hebu niwekee picha ya Mrisho Mpoto akiwa amebeba Bendera ya Kenya kwa furaha kabisa, sisemi kwamba na kuna tatizo lolote lile ila ningependa tu kuona hiyo picha!
 
hapa mkenya ako chooni



hapa mkenya huyo huyo anaandamana akitaka kupindua serikali sababu ya unga
View attachment 365527



hapa kwengine mkenya mwengine amenyamba , acha ni muanzishie mada yake hapa jf

Hebu niwekee picha ya Mrisho Mpoto akiwa amebeba Bendera ya Kenya kwa furaha kabisa, sisemi kwamba na kuna tatizo lolote lile ila ningependa tu kuona hiyo picha!


Hahahaha!..umenichekesha kweli.......
 
Hebu niwekee picha ya Mrisho Mpoto akiwa amebeba Bendera ya Kenya kwa furaha kabisa, sisemi kwamba na kuna tatizo lolote lile ila ningependa tu kuona hiyo picha!
Kwa hiyo kwa ufahamu wako unahisi kuipeperusha bendera ni lazma mtu aishike bendera halisia !!!!!!!!.......
 
Ndiyo!

Mashindano mengi ya kimataifa hutaja taifa la mshindani kama kiwakilishi cha ushindani wake na wala sio jina lake hivyo, mtu akishinda shindano hilo ni jina la nchi anayoiwakilisha ndo hupepea na wala sio jina lake binafsi.....

Na hata screen display ya matokeo huwekwa bendera ya taifa linalowakilishwa na si sura ya mtu...

Hapa ndipo dhana ya kuipeperusha bendera ya nchi husika huja......

Unaweza kunisahihisha kama waweza
 
Wewe mjamaa Barbarosa umekataliwa kila kona humu JF, umeona uandae utumbo hapa ukenyani.

Kwa taarifa ya wote, huyo dada ni mzaliwa wa Ethiopia kwa jina la Elvan Abeylegesse. Amekuwa akiwakilisha uturuki miaka kadhaa sasa,kutoka 2000, sio habari mpya. Aliolewa na mturuki, wakawchana, na ana uraia wa huko kwa njia ya ndoa.

Na kila mtu duniani anafahamu nchi zipi 2 mababe wa mbio ya masafa marefu na kati, wanaogopa kushindana nazo, sitawataja. Inabidi watuhusishe kwenye program zao,tunatafutwa kama dhahabu. Tuko wengi sana, mfano mmoja ni Bernard Lagat wa USA ambaye aliwahi shinda dhahabu kwenye olimpiki,na kuwashinda wakenya.

Sio siri hawa ndugu zetu kutoka highlands za Kenya na Ethiopia ni wanoma sana kwenye mbio. Imefanyiwa utafiti na kuna sababu vingi, lakini lile kuu ni genetics. Tupa macho hadi Uganda, waliona mbali na kujua fursa ya kupata medali ya dunia au olimpiki litatokea toka hawa ma brother wa mbio. Wanavunjavunja rekodi za nchi zao na bara zao. Utagundua hadi na rekodi za Asia zimeshikwa na mzaliwa wa Kenya. Kama hii yote mijisifa, sijui sifa nini basi.

Zaidi hapa: Elvan Abeylegesse - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Atleast kenyans and Ethiopians have excess athletes to an extend that we can represent other nations and still win, unlike Tanzanians who cant even represent their own nation.

hahahha, by the way what are Tanzanians good for? Natural resources? lol
 
Wala hahitajiki mkenya wa muhabesh ....kinachohitajika ni kuzifanya tasnia ya michezo na burudani kuwa chanzo cha ajira zenye faida.........
Pamoja na juhudi za makusudi kujenga mchezo lazima ieleweke talent is rare commodity ndio maana mataifa makubwa hayachelewi kuwapa Wageni uraia ili kuwakilisha nchi. Mfano Mohamed Farh na Froome leo hii wanapeperusha benders ya Uingereza. Froome yupo mbioni kushinda mashindano ya Tour de France ambayo yanaendelea hivi sasa ufaransa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…