mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 245
- 534
Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka.
mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa betting lakini nataka kuwa najaribu bahati yangu japo mkeka mmoja au miwili kwa wiki.
Unaweza niandikia hata kwa mkono ukaweka picha mimi nitajua cha kufanya.
NB: ninaomba ushauri wa kutengeneza mkeka sitaki ushauri wa betting ni nzuri au mbaya najua ubaya na madhara ya kuingia kwenye betting so usipoteze muda kunipa mahubiri.