Mke wangu Tabia ya kuweka picha facebook siitaki.

IZENGOB

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
323
317
Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.
 
Unaposema umeshamuonya. ...umemweleza kwa kina sababu gani hupendi. ....na je umemsikiliza yeye kwanini hazioni sababu zako si za muhimu?

Pengine attention imepungua kutoka Kwako. ..kaamua kuitafuta huko fb.
 
Atakuwa anatafuta mume wa pili ila ww haujajua tu
 
Tupo pamoja mkuu, sitaki kabisa tabia hii
 
Hujakamilika mkuu ndo maana anapost aonekane kwa wengne ! Angalia unakosea wapi .ukishindwa tumia mikono yako kumuonyea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…