Heri ya Idd kwako pia mkuu!! Kwa hali yake huyo shemeji yetu nakushauri uende kituo cha afya kwa ajili ya uchunguzi,.. Nakushauri hivyo maana huyo ni mjamzito hivyo unaweza chukulia tatizo ni dogo kumbe ni complications za uzazi,..au maambukizi yanayohitaji matibabu ya haraka. Usingoje ushauri wa humu nenda kwa wataalamu wa afya ili ujue tatizo mapema umnusuru kiumbe uyo tumboni, vile vile na mama.