Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini

Status
Not open for further replies.

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,300
5,903
Habari wana JF,

Yaliyo nikuta usiku wa kuamkia leo sina wa kumueleza kwa heshima ya mke wangu na nyumba yangu, ila kwakua JF hakuna anaenifahamu wala kumfahamu mke wangu bila shaka sitokua namzalilisha wala kujidhalilisha ukizingatia kizazi chetu hiki hatuna wazee wala wataalamu wa kuwaamini zaid ya kutufilisi tu.

Katika maisha yangu niliapa na kuishi katika kiapo hiko mpaka leo kwamba nitamuheshimu mke wangu na sito msaliti kamwe ili watoto wetu wasidhurike pindi tutakapo achana kwani nimepanga kuishi na mke mpaka kifo na kua responsible kwa kila kitu cha familia yangu.

Mahusiano yetu yakuishi pamoja yalisababishwa na mimba pamoj na mapenzi tukaamua tuishi pamoja kwani tumeendana, niliulea ule ujauzito japo sikua na kazi.Mke wangu ni mvumilivu sana mwenye msimamo na uaminifu ili mbidi afanye kazi mpaka mimba ilipofika miezi nane ili alinde nyumba kwakua mimi nilikua naunga unga na vibiashara vinavokufa kufa.

Kipindi cha ujauzito mke wangu alikata hamu ya tendo la ndoa ikawa mpaka mara moja kwa miez mitatu labda atajisjia, hivo nilikua napata taabu ukizingatia mke wangu ni mzuri na mimba ilizidi kumpendezesha sa ilikua kazi kulala au kushinda nae hivi hivi maana tumeizoea kushinda bila nguo ama nguo za ndan tu.

Tatizo likaja mimi kulazimisha kufanya mapenzi yeye akiwa hataki akawa anakubali ili kuniridhisha bila ushirikiano na mimi nikawa nalazimisha kumaliza haraka ili nisipate shida, akawa ndo mchezo hamna kumuandaa kwasababu nikimshika anasema namkera na mimi zile sehemu zangu nnazopenda kugusa zoote nimekatazwa namkera.

Tatizo limeamia kwangu imekua mazoea na yeye bado anaendelea kudai namkera nikimshika huku akilalamika simuandai namuacha hajatosheka na maumivu maana nami hata speed imepungua sipandi mda mrefu tena sasa tunaenda mwaka na nusu zaidi tangu haya maisha ya kutokufurahia unyumba.

Juzi nilipata safari ya msiba nikaenda mkoa siku ya kurudi tangu jana yake tulichat mambo ya mapenzi nikamuambia umeniaamsha nakesho narudi mapema nikupe dozi isiyo ya msamaha maana nimezoea kumwambia sorry kila tukimaliza kwakua najua sijamfikisha. Sasa nilijiapiza kiasikolojia nikifika leo mke wangu atafurahi.

Nilipofika kanipokea fresh na mtoto alilala mapema basi nami nikaanza kua romantick kwa maneno na kumshika shika najua mpaka mida flani hivi atakua fresh, nashangaa alinigomea akasema hajiskii huku mimi nikiwa moto kwa hisia, hua situmii nguvu nikamwambia naumia ila kama hujisikia nitavumilia japo sio sawa kuniandaa kisaikolojia alafu unikatae.

Kitandani alilala mapema mimi usingizi uligoma sa hua tunalala utupu nikaona mlalo flani hivi nikajua labda anataka nikaanza kumchezea tena karibu robo saa akashtuka akazidi kunipiga biti nikatulia sa na mimi nikaona tabu ya nini nikajilipua na ''masterbation'' (kujichua) asubuhi nikamwambia tufanyeje ili nisijenikapotea nikarudia ''masterbation'' (kujichua) maana nilikua mwanachama wa muda mrefu hapo awali na ili tuokoe ndoa yetu.Alihuzunika akakasirika nikamplease nikamwambia sitorudia ila kila mmoja atimize wajibu wake.

Mimi usiku ule nilienda mishindo mitatu ya masterbation kwaivo nilikua hoi kesho yake wala siku mtamani sasa na yeye jioni akaanza kunipa amsha kimapenzi anataka sex nikajiminya kidume japo nilijihisi hamna kitu tukafanya safari ilikua ndefu kiasi sema sikumuandaa fresh kama kawaida akawa yupo moto bado mihoi coz nilijilazimisha.

Sa jana nikiwa kazini tukachat kimapenzi tena basi nikajua leo napewa mzigo na nitauandaa kweli kweli nirudi kama zamani kufika nyumbani kanigomea kasema hajisikii kabisa nikaamua kupanda kitandani kulala akaniita kochini akaniambia anakitu anataka kuniambia nikamsikiliza akaniambia hua hafurahii tendo la ndoa mpaka anakosa hamu kisa mi simwandai nilichoka nikalalamika nikamweleza tatizo yeye alijitetea na mwishoe akaniambia na yeye leo amefanya "Masterbation'' (kujichua) wakati mimi nipo kazini hivo hana hamu"

Niliona dunia giza ndoto ya familia yangu kua moja milele inasambaratika nikashindwa kulala nyumbani maana iliniuma nikijuchukulia kama si mwanaume usiku ule yaani ni kama mwanamke mwenzake maana simsisimui tena, nikalala gest asubuhi nimerudi kujiandaa yeye kanuna nipo kazini nimechoka machozi yanadondoka sijui hatma yangu na familia yangu tena wakati huu nnaojiandaa kulipa mahari na kufunga nae ndoa.

Mungu anisaidie.
 
Pole ndugu kwa masahibu, isijekuwa mkeo kakumbwa na jini mahaba ila subiria wataalam watakupa ushauri zaidi.
 
Sioni kama una sababu ya kulia ndugu, umesema tatizo ni kutokumuandaa vyema,basi sasa tenga muda na umuandae vema huyo mkeo. Fanya mazoezi ya viungo na mwili pia kula vizuri
 
Kwa hiyo sababu ilikuwa mimba mpaka leo mko hivo hivo duu kazi ipo kwan siashajifungua tatizo nn tena jitadhmini kuna vitu unaskip mkuu au umebadilika ww binafsi vinakupa muelekeo mbovu wa mapenzi yenu
 
Hiyo ni roho ya jini mahaba imemuingia na usipoangalia itaweza sambaratisha ndoa yenu
 
nashindwa kuelewa kwako ilikua sawa masturbation ila kwake haijakaa sawa kwako... na ukwel amekwambia humwandai vya kutosha.... huko ulipofika ni mbali sana kusema ndoa ilo hatarin... what if angekwambia alilala na mwanaume mwengne kipi ni kibaya la msing kaen chini mkubaliane kumaliza tofaut zenu kwa maana kila mtu alitafuta starehe yake kwa namna yake kwa sababu ya kutoelewana mwanzon...
 
Umenisikitisha sana!! Kumbe hujamuoa bado?? Mi nilidhani huyo ni wa kufa na kuzikana? Dah..piga chini hiyo takataka
 
usilie totoo! poyeee! yaayaaa umesikia toto!

Nikuulize hili ni tatizo lako la kwanza tangu muoane?
 
Suluhu namba moja kabisa ya tatizo au mgogoro wa aina yyt daima dumu ni kumaliza kidiplomasia, unatenga muda mwingi tu wa kuwa na familia yako, mnatoka walau matembezi ya amani mnazungumza na mnamaliza kwa amani tu, sina hakika kama kulala kwako guest kutakusaidia kulikabili tatizo linalokukumba zaidi ya kuongeza ukubwa wa tatizo. Nenda nae ufukweni au popote palipo na utulivu muongee, usilazimishe aina ya maongezi hususan toka kwake(responce),kuwa mbunifu, kwa kufanya hivi mara kadhaa utagundua maswahibu yanayowakumba na natumaini mtapunguza ama kumaliza tatizo
 
Kaa nae muongee zaidi akwambie alianza lini hiyo tabia.....haiwezekani kwa siku moja tu ndo mizuka ipungue hvyo.....na kama una mashaka na ndoa embu ongeza muda kwanza wakati mnatatua tatizo liliopo....

Pole sana.......
 
Pole sana kwa hilo ndugu, kwenye maisha ya ndoa kunachangamoto nyingi. Hasa hawa ndugu zetu anaweza poteza hisia kwa kuudhiwa na jambo dogo tu. Hasa kipindi cha ujauzito anaweza akakuchukia kwa kila unachofanya na ukijifanya kidume ndo unaharibu zaidi.

Ushauri wangu:
-Panga muda wa kutoka nae nje ya eneo lenu mkapumzike na kuongea (angalia anapopendeleaga)
-Kafanyieni maijanja yenu hayo nje ya nyumba yenu na siyo lazima usiku, mfano: chukua hoteli nzuri mkapeane yenu kwa raha inaweza saidia
-Jitahidi kumsoma na kubuni mbwembwe za kunogesha mapenzi yenu

Itaweza saidia, usikate tama au kumlaumu sana, jikaze hata kama inakuboa but itakusaidia.
 
Me sijakuelewa mtoa mada,
Yani kilichokukwaza ni nini,
Kujichua yeye?
Kukwambia humuandai,
Au ni nini?

Km kujichua ww mbona ulijichua?
Kama kumuandaa ameshakwambia so kazi ni kwako,

Yani uvunje uhusiano na mtu kwa kisa km hicho hata hujishtukii,
Umeshawaza khs mtoto wenu?
Hebu kua rijali, control nyumba yako kwa kua na msimamo na kutatua matatizo yoyote yanayoikabili familia yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom