Mke wangu amehamishia upendo wote kwa watoto. Je, ndio uhalisia wa ndoa zote?

Umhuu n nn kifanyike sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakwanza ana miaka 7 na mwingine miezi 6

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vingi vinaendelea hapa. Je unajua changamoto gani za kimwili na kiakili mwanamke huwa anapitia baada ya kujifungua. Kuna kitu wataalam wanaita postpartum depression.Kwa third world countries hatufuatilii sana ila kama utaweza jaribu kufanya utafiti juu ya hili na usichoke kumuonyesha mwenzio na watoto mapenzi. Miezi 6 bado mama anakua ana struggle na baby blues.
 
Thanxx hiyo pia n kitu kikubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nachoweza kukushauri ni kuwa fanya uchunguzi ujue ni nn haswa kimesababisha hayo mabadiliko.
Je?
Ni mabadiliko tu ya kimwili? Hapa na maana hormone imbalances kutokana na umri, majukumu, kipato kuyumba etc.

Kuna mtu anampa attention zaidi klk wewe?

Kuna Jambo umelifanya hajalipenda?

Kuna mmb ya msingi ulikuwa ukimtimizia na Sasa hutimizi?

Ukimaliza uchunguzi tafuta siku mkae chini mzungumze kwa kirefu, mpe muda yeye aseme ya kwake, akueleze anavyojiskia juu yako, nawe pia kuwa free kumueleza unavyojiskia juu yake, mueleze khs issue ya yeye kutokukupa attention Kama zamani.

Mueleze impact itakayotokea Kama hutopata hy attention toka kwake, lkn pia mueleze kuwa wewe ni baba bora na usingependa kuona familia inayumba kwa makosa Kama hayo.

Nisichokushauri kuhangaika nacho kwasasa ni kutafuta mchepuko, Kwani ndy utakuvuruga kbs.
Daa aise mkuu niseme asante sana kweli mwenzangu cjajua ndoa yako ina miaka mingap ila umenijib kwa experience na uweledi mkubwa sana niseme asante

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ubarikiwee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza jazba Rijali mwenzangu..
Amini na ujue Mke na watoto wote ni mali yako.. Sasa unakosa nini... Mapenzi ni miezibtisa tu! Mke akisha zaa 80% love goes to baby!!
Wee peleka pesa za malezi na matumizi...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…