Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za majukumu ndugu zangu wa Tz.
Moja kwa moja kwenye mada......
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 dini yangu muislam nimeajiriwa serikalini nina mke na watoto wawili nyumbani Zanzibar.
Nimeanza kuwa na ham ya kutaka kuowa mke wa pili na sio kuwa na michepuko nimechokana na hilo, mke anaehitajika awe na sifa zifuatazo.
1. Awe na umri ulio chini yangu akiwa na 23 - 25 itapendeza zaidi.
2. Awe muislam mwenye kutaka uke wenza, kwa mkristo awe tayari kusilim na kumudu uke wenza.
3. Asiwe mlevi na asiwe na mawazo ya kuja kuwa mlevi.
4. Kazi sio lazima na kama atakua na kazi yake ya kuajiriwa au kujiajiri itapendeza sana.
5. Awe tayari kuishi nyumba ya kupanga.
6. Chura sio lazima ila akiwa nayo peleka kwenye maji.
7. Awe tayari kuishi popote mnapotaka mimi.
Mwenye kuafiki hayo na mwenye uhitaji kama wangu aje pm tuyajenge.
NB: Fursa nimeileta kesho na kesho kutwa nisije kuona tena bango LA kwamba hakuna waowaje humu karibuni.