Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,368
- 120,964
Wanabodi,
Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?.
Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa ni kuponda tuu vyama vyao vya zamani, is it right?. Hii ni sawa?
Kule nyuma niliwahi kutoa angalizo hili Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
As days go by, nimeona baadhi ya wanasiasa hama hama walio defect kutoka Chadema hivi karibuni, na kujiunga CCM, kila wakisimamishwa na kutambulishwa kwenye mikutano ya hadhara, wao ni kuisema tuu Chadema, Chadema Chadema in a negative way!.
Edward Lowassa alihama CCM, akajiunga Chadema, mliwahi kumsikia akiizungumzia CCM negatively akiwa Chadema?. Na baada ya kurejea CCM, mmewahi kumsikia akiizungumzia Chadema negatively?.
Stephen Wasira, Lawrence Masha, Njelu Kasaka, na wengine wengi, walikuwa CCM, wakahamia Chadema na kurejea CCM, mliwahi kuwasikia wakizungumza negatively kuhusu upande wowote?.
Mke ukiachika, ukapata bwana mpya, acha kumzungumzia bwana wako wa zamani mbele ya bwana wako mpya kila uchao!.
The same applies to Bwana, bibi umemuacha, sasa una chombo kipya acha kumzungumzia yule bibi wa zamani, mbele ya bibi mpya!, utaonekana bado unampenda, hivyo kumzungumzia negatively all the time, lengo lako ni to inflict pain ili aumie, utajikuta sio tuu unaumia mwenyewe, bali pia unamuumiza huyo bwana mpya au bibi mpya.
Naendelea kuwasisitiza hawa wanasiasa hamahama, wenye tabia hizi Mwalimu Nyerere alizozizungumza,
View: https://youtu.be/Qc-nXKcZbbc?si=06keCte9MvrSj3Jf
Ukihama mahali, achana na ulipohama, zungumzieni bwana wenu mpya!, zungumzieni vyama vyenu vipya!, achaneni kuzungumzia vyama vyenu mlivyovihama, vinginevyo mtaonekana na wanasiasa muflis!.
Jitahidini muwe na civility na shukrani ya mlipotoka!, karma ipo and is real!. Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Hawa wanasiasa hamahama mimi nawaita kama Nyerere alivyowaita Tanzania nchi ya ajabu!, Badala ya wanawake kutongozwa, ni Wanaume!, wanawake wanaotongozeka kirahisi ni malaya, Je, hawa wa'ume tuwawaiteje?
Politics is a very dirty game, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, only a common interest!.
Kuna watu wana kinyaa na mtu kutapika halafu kulamba matapishi!, mbwa hana kinyaa, anatapika na analamba matapishi yake!, the same applies kwa Wanasiasa hamahama Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.
Ijumaa Kareem
Paskali.