Mke anahitajika

Mgalikoko

Senior Member
Mar 30, 2024
126
300
Mwanaume
Naishi Dodoma kikazi.
Umri wangu 39.5
Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa
Dini:mkristo
Kazi:nmeajiriwa na serikali
Mweusi mimi sio sana

Nahitaji mke
Umri 25-35
Awe mweusi kidogo
Watoto1 au wawili tutaangalia au asiwe nao
Mkristo
Awe na heshima na ajue kupiga goti kwenye kabila langu
Awe kabila lolote
Kazi: hata anapokuwa nayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom