John Walter
Member
- Aug 14, 2017
- 68
- 63
Mahakama ya wilaya ya Babati umemhukumu kifungo cha maisha jela Yunusu Juma (18), Mkazi wa Kijiji cha Mawemairo kata ya Magugu Mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita.
Hukumu hiyo imetolewa, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Manyara, Ijumaa Mwambago.
Mwambago amebainisha kuwa kupitia ushahidi usio na shaka uliotolewa Mahakamani hapo kwamba mshitakiwa ametenda kosa hilo hivyo inamhukumu kutumikia adhabu hiyo ya kifungo cha Maisha Jela.
#Walterhabari