Mkapa anaponaje sakata LA mchanga

mafimboo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
2,415
977
Magufuli amethubutu kugusa pasipoguswa na wanaccm wengi,nauliza aliyebinafisha haya madini ni mkapa mawaziri wote walikuwa chini yake ,mawaziri hawa wote,wanasheria wote waliwezaje kupitisha hii mikataba mibovu bila bwana mkubwa kujua,na kama mkapa hakubariki hii mikataba ya kiutapeli alichukua hatua gani?,kama hakuchukua hatua maanake aliipenda na akaibariki,hivi waziri anaweza akapitisha maslai ya moyo wake bila ruhusa ya bosi wake,magufuli mungu akulindeeeeeee
 
ni utafutaji wa front page tu,hamna chochote kitakachofanyika Magufuli alikuwa kwenye baraza la mawziri kwa miaka 20 wamepitisha hiyo mikataba,pia amekuwa bungeni muda wote
 
MA RAIS HAWASHTAKIWI BAADA NA KABLA YA KUTOKA MADARAKANI KEEP IN YOUR MIND
 
Mimi kwakweli nasubili labda watoto wetu au wajukuu kukomboa hili taifa hapa ni lamli tuu hakuna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…