Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

Mkaa_Maridadi

Member
Nov 5, 2017
10
11
Habari wana JF wenzangu...napenda kuwajulisha kuwa tumefungua kiwanda cha kutengeneza mkaa wa kisasa kilichopo Mbezi Msakuzi...
Mkaa huu (Jina Mkaa Maridadi) ni bei rahisi, unadumu kwa muda mrefu zaidi, hautoi moshi wala cheche na ni rafiki kwa mazingira. Mkaa huu unatumika kwa matumizi ya nyumbani, hotelini/migahawa na kwa wafugaji wa kuku/vifaranga.
Kwa wale watakaopenda kuwa agents, kuanzia gunia 10 za 25kg bei ni Sh550 per kg.
Kuanzia gunia 10 za 4kg au 15kg bei ni Sh 600 per kg.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0745000888

Au karibuni ukurasa wa insta ili kupata taarifa mpya
Instagram

Karibuni sana.

Mkaa Maridadi
f86a88e2a6b54e964a88a059f4b1aab7.jpg
7a6289ed8cf44d2ca3e0c7dcab328bd5.jpg
71ad777c63b1a87e94653a7196616ac7.jpg
f44e13f59f03ce6c365d6633a15edd4b.jpg
56286f4501babd0aa5b77d346c699b02.jpg
91964e44353691b6389a65b4ad90e278.jpg
 
Dah,
Hivyo vipimo vya uzito ndio vikoje tena??
Wengine tumezoea vipimo vya Ujazo wa Gunia au viroba
Kwa bei ya jumla (gunia 10 kwenda mbele) ninauza sh 13,750 kwa gunia la 25 kg...
Sh 2,400 kwa gunia la 4kg na sh 9000 kwa gunia la 15kg. Karibu sana
 
Namaanisha nikitaka Gunia kama hili hapa chini lijae hivyo,
Kwa uzoefu wako linainia kilo ngapi??
Ambazo ni kiasi gani unauza

images
 
  • Thanks
Reactions: BAK
akijib nitagi

Namaanisha nikitaka Gunia kama hili hapa chini lijae hivyo,
Kwa uzoefu wako linainia kilo ngapi??
Ambazo ni kiasi gani unauza

images
Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00
Kwa Mkaa wa kisasa, tutakuuzia kg 70 kwa sh 38,500

Karibuni, Mkaa ni mzuri hautoi moshi, hautoi Chechen, unawaka muda mrefu.
 
Halafu we madonge yako ni makubwa sana, tukiupasua hauwezi kua chenga sana??
 
Habari wana JF wenzangu...napenda kuwajulisha kuwa tumefungua kiwanda cha kutengeneza mkaa wa kisasa kilichopo Mbezi Msakuzi...
Mkaa huu (Jina Mkaa Maridadi) ni bei rahisi, unadumu kwa muda mrefu zaidi, hautoi moshi wala cheche na ni rafiki kwa mazingira. Mkaa huu unatumika kwa matumizi ya nyumbani, hotelini/migahawa na kwa wafugaji wa kuku/vifaranga.
Kwa wale watakaopenda kuwa agents, kuanzia gunia 10 za 25kg bei ni Sh550 per kg.
Kuanzia gunia 10 za 4kg au 15kg bei ni Sh 600 per kg.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0745000888

Au karibuni ukurasa wa insta ili kupata taarifa mpya
Instagram

Karibuni sana.

Mkaa Maridadi
f86a88e2a6b54e964a88a059f4b1aab7.jpg
7a6289ed8cf44d2ca3e0c7dcab328bd5.jpg
71ad777c63b1a87e94653a7196616ac7.jpg
f44e13f59f03ce6c365d6633a15edd4b.jpg
56286f4501babd0aa5b77d346c699b02.jpg
91964e44353691b6389a65b4ad90e278.jpg
Tupe production ya huo mkaa
 
Tupe production ya huo mkaa

Huu ukiwaka unakuaje mkuu hamna hata video ya demo ya jinsi unavofanya kazi mkuu maana wengine tupo mbali kabla ya kukutafuta ni vizuri tukajiridhish
Maswali mazuri sana hayo atusaidie mkuu, kuhusu video tuone vile unawaka...

Pia kuhusu vile unaotengenezwa, kuhusu materials na vitu kama hivyo, hapa nahisi jamaa anaweza kuwa na hofu kidogo labda watu watachukua na kufanya wao lakini dunia ya sasa watu wapo kasi kujua ni kujiridhisha then mtu ajiridhishe na kuiamin bidhaa kuwa itakuwa imala.
 
Awe na amani tu kuweka video na hata kueleza process, mbona material za kutengeneza charcoal briquettes zinajulikana.
Pia video au picha ya mkaa ukiwa na moto itavutia zaidi.
 
Tunashukuru na je huo mkaa umetengenezwa kwa kutumia nini?
935f1aff867638b6476329d505fd96f4.jpg
c76a1e277013cb3db2294d6fe1099a0b.jpg
a5db6cdd0f226ea196210dc5d95a1066.jpg
59400aea2a3abbe01cbf08e560c589f9.jpg

Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga...mkaa huu unakaa muda mrefu zaidi (mara 4 zaidi ya mkaa wa kawaida)...
Kuhusu utengenezaji, unatengenezwa kupitia vifuu vya nazi na mabaki ya mimea mikavu ambayo inapitia mchakato wa carbonization (malighafi inachomwa katika oxygen controlled environment ambayo hairuhusu oxygen nyingi hadi malighafi kuungua kuwa majivu na wala haizibi oxygen yote hadi moto kuzima). Baada ya hapo inachanganywa na binder ambayo maranyingi inakuwa starch ya aina yoyote alafu inaingizwa kwenye machine kupata final output. Ni mchakato mfupi na rahisi
 
Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00
Kwa Mkaa wa kisasa, tutakuuzia kg 70 kwa sh 38,500

Karibuni, Mkaa ni mzuri hautoi moshi, hautoi Chechen, unawaka muda mrefu.
Hazifiki kg 70.
Huu wenu unaisha mapema, chenga nyingi. Kanyaboya.Nunua huo mkaa maridadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom