Jamaa ameongeza CV yake kwa kumkaanga na kumgeuza kama Chapati yule Profesa wa ovyo kutoka Tz anayejulikana kama Profesa Mruma.Sijaona jambo lolote la maana Kwa huyu jamaa.
A siyo tatizo sababu watu wanakariri huwa siziamini, Kibatala wanasema class alikuwa wa kawaida sn lakini akianza kujenga hoja unaona kabisa huyu jamaa ni hatari, wakili mkuu wa serikali mimi amenifundisha secondary jamaa kwa kuandika ni hatari mpeleke kwenye kuongea hajui kitu na hajawahi kupata B plan B+ kidogo za kutafuta kwa torch yeye ni A tupu.Mtoto Mdogo kama huyu anamgeuza mzee kama yule mwenye experience ya hizo kazi kwa zaidi ya miaka 15 aiseee.... Kweli ya Elimu ya Tz Bado sanaa sjui Hawa ma Professor wetu walisoma wapi.
Job Ndugai alikua sahihi kabisa kesi kama hizi chukueni Vijana smart waliopiga A zote siyo mtu amejaza Makarai kwenye Cheti sababu ya Cheo anaenda kusimama mahakamani anafikiri wazungu ni wabongo wakuangalie wakuache
Challenge kidogo tu Chali😂😂
Yupo vizuri upstairsView attachment 2698674
Robert Denison joined LALIVE in 2019 and specialises in international commercial and investment treaty arbitration, as well as public international law. He has a particular focus on the energy and mining sectors, as well as experience working on disputes in a range of other industry sectors, including construction, commodities, hospitality and the automotive industry.
Robert has worked as counsel in arbitration proceedings under most of the major arbitral institutional rules, including ICSID, ICC, LCIA, SIAC and UNCITRAL. His recent experience includes two ICSID arbitrations, each with amounts in dispute of c. USD 100 million, where he acted as counsel and advocate for the claimants. He has also worked as tribunal secretary in a dispute under the UNCITRAL Rules.
Since August 2021, Robert has been a member of the Executive Committee for London VYAP, an association for junior arbitration practitioners connected to London. He is also a member of several other professional associations, including the ICC YAF, LCIA YIAG, Young ICCA and London Young Mining Professionals.
Before joining LALIVE, Robert trained with Herbert Smith Freehills (2017-2019) which included seats in the firm’s international arbitration groups in London and Paris. Robert studied Law at Cambridge University (BA, 2016) and spent a year at the Universidad Autónoma in Madrid. He completed the LPC at BPP University, London (2017).
Publication
Five tips from disputes lawyers for parties considering third-party funding, Robert Bradshaw, Robert Denison, 2023
Financier Worldwide, Managing and Resolving Commercial Disputes 2023, p. 45-53
Impact of Radical Changes of Circumstances on Contractual Relationships Under Swiss Law and English Law: Tomato-Tomato?Robert Denison, Caroline dos Santos 2023, Business Law Review, Volume 44(2) (2023), p. 64-74
Third-Party Funding: EU Parliament’s Proposals for Regulation and their Implications for Arbitration
Marc D. Veit, Robert Denison, 2022
18 JUL 2023
PRESS RELEASE: LALIVE SECURES VICTORY FOR JUNIOR MINING COMPANIES IN ICSID ARBITRATION AGAINST TANZANIA
23 SEP 2021
London Very Young Arbitration Practitioners (VYAP) Executive Committee appointment
TAZAMA VIDEO CHINI
View attachment 2698715
Pia soma
- Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni
Ikifika tar 17.8.2023 siku ya mwisho ya kulipa 260 billions utaona cha maana kwake.Sijaona jambo lolote la maana Kwa huyu jamaa.
Walivyo kama kima lijamaa likaoshia kujitetea eti limesoma ujerumani...rubbishJamaa ameongeza CV yake kwa kumkaanga na kumgeuza kama Chapati yule Profesa wa ovyo kutoka Tz anayejulikana kama Profesa Mruma.
HaijarishiIkifika tar 17.8.2023 siku ya mwisho ya kulipa 260 billions utaona cha maana kwake.
KWa sababu tu ni mzungu ndio maana wamejiongelesha hovyo... Africa BAdo watu watumwa wa fikra... Mbona tundu lisu alivyo kuwa wakili wa kiongozi fulani mkubwa wa nchi fulani africa na alimsimamia hadi kushinda kesi huko mahakama ya makosa ya jinai ya kimataifa hawakuikuza namna hii?...Sijaona jambo lolote la maana Kwa huyu jamaa.
Hili ndiyo jibu sahihielimu bila exposure inakuwa shida sana.
watu wetu wengi hawana exposure
Na IQ je?Hili ndiyo jibu sahihi
Shida ni exposure
IQ kubwa bila exposure haiwezi kusaidiaNa IQ je?
Mkuu Mh. Lissu?! Kesi gani? Mh. Lissu huwaanababaisha polisi na mahakimu wa mahakama za wilaya ila ni mweupe sanaKWa sababu tu ni mzungu ndio maana wamejiongelesha hovyo... Africa BAdo watu watumwa wa fikra... Mbona tundu lisu alivyo kuwa wakili wa kiongozi fulani mkubwa wa nchi fulani africa na alimsimamia hadi kushinda kesi huko mahakama ya makosa ya jinai ya kimataifa hawakuikuza namna hii?...