Mjue kuna vitu vinashangaza sana

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
15,473
25,401
Yaani mpka asa sijaelewa.
1:. Mwanaume unaogea sabuni inaitwa RUNGU. Halafu unaipitisha makalioni ili iweje ?

2: Mwanaume unapaka makalioni ili ugundue ninj? Umuoneshe nani?

3: Unanawa mikono halafu unakula na kijiko ulinawa ili iweje?

4: Mtoto wa watu anakwmbia ana mimba yako unamuuliza imeingiaje
Una akili kweli mbwa wewe?

5: Unapenga makamasi na kitambaa halafu unakirudishia mfukoni
Wewe nenda mirembe tu.

6: Unapiga mswaki bafuni halafu unaenda kusukutua mdomo bomba la nje
Wewe ni zuchu

7: Unajamba halafuu unanusa ili iweje?

8: Mwanaume unaoga halafu unajifuta na taulo .

Jitikise kama mbwa hadi ukauke acha uzuchu
 
Sitaacha kukazia maneno ya mbasha kwenye thread za kibangebange."unajua we mleta mada bangi sana" mwisho wa kukakazia
 
Dah....polisi anampiga risasi jambazi....Daktari anahangaika kwa gharama kubwa kuokoa uhai wake....anapona...anaenda mahakamani....Jaji anamuhukumu adhabu ya kifo
 
Back
Top Bottom