MJF aliyepo Msata

Mshana jr kamada Sirro yupo mitaa hio usije ukapewa kesi ya kunywa damu ya albino
Tulipeana Hi juu kwa ju jana jioni pale msata naona alikuwa kwenye msafara sijui ni wa mkubwa gani huko !walitokea kiwangwa kisha wakakunja kuelekea chalinze or may be msoga
 
Alikwenda kupewa ishu flani mitaa ya juu hapo ndio maana nikakwambia kuwa muangalifu hapo kawacha watu wake mitaa hio.
 
Tuwasiliane tasavali Leo sijaja Kwa kificho niko Kwenye hiki kipub karibu na makaburi... Nimekaa pekeyangu nakunywa Malta nimevaaa kanzu nyeusi kilemba chekundu na makubadhi ya kahawia
Dah proffesa..mie nimekaa hapa pia, nimevaa kaniki nyeusi na kofia ya ngozi ya simba huku nakunywa damu ya mbuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…