mkuu umenichekeshaje jamani,mpaka nusura nidondoke ila kama kuna kaukweli fulaniKuna ukweli mkubwa sana kwenye hilo. Ukiwa nazo mfukoni ukumbuke kuwa mfuko wa suruali na dudu ni mtu na jirani yake, kwa hiyo dudu ananusa harufu ya noti na anaanza kusimama simama kama mtu anayetaka kujibu swali mkutanoni
Yaani hapangiwi, hata wake za watu anawaona ni mademu wa bar...msimjaribu! Mwenye pesa hajaribiwi kwa kiminiKwahiyo unamaanisha mwenye pesa hapangiwi kiwango cha nguvu za kiume?
You have freedom, but not to that extent.
Wenye roho mbaya ni ngum sana kujua mambo hayaDah....umejuwaje?
Dah...Umeijua jenda ya espy au unakurupuka tu? ...Wenye roho mbaya ni ngum sana kujua mambo haya
Pesa haiongezi nguvu za kiume, hapa tusidanganyane na kujifariji, kama huna nguvu wewe huna tu, ILA pesa inaongeza kujiamini katika mapenzi na inakupa hamu ya kufanya mapenzi.Habari wakuu wanaMMU,
Nimewahi kusikia pahala pengi wengi wakinena hili jambo kwamba pesa huongeza hisia za kimapenzi au nguvu za kiume. Na wakati uanapokosa pesa hizo nguvu pia hutoweka yani lose of libido.
Binafsi nime experience sana hili jambo na huenda lina ukweli kwa kiasi fulani japo inaweza isiwe asilimia 100, wakuu kwa upande wenu mnaonaje.
Je kuna chembe yeyote ya ukweli katika hili?
Hebu tujuzane.