Mitandao ya simu, hawa watu wanatoa wapi namba zetu?

Chriss Jericho

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
257
396
Naomba kuuliza mitandao ya simu hawa watu wanatoa wapi namba zetu? Mana imekuwa mtindo wao kujitangaza kwa mtindo huu kujifanya wamekosea kutuma ujumbe, Mtakuwa mna 10% zenu kwenye haya matangazo inaonekana
Screenshot_2018-02-14-10-48-29.png
Screenshot_2018-02-14-10-48-41.png
 
Yaaani sio watu wa mtandao maana unaweza kujiandiaki manamba tu kwa idadi ya namba za sim tayal unakuwa umempata mtu mfano hizi namba sizijui ila najiandikia

0745678964
0767326546
0624674892
Hizo lazima zina watu wanazitumia
 
Yaaani sio watu wa mtandao maana unaweza kujiandiaki manamba tu kwa idadi ya namba za sim tayal unakuwa umempata mtu mfano hizi namba sizijui ila najiandikia

0745678964
0767326546
0624674892
Hizo lazima zina watu wanazitumia
Hiyo namba ya mke wangu hapo juu umeipataje. Shindwa na ulegee mwana izaya wewe.......
 
Wananunua namba kwa watu wenye njaa, namba moja 50 namba Mia buku 5, pia simu za uwizi huwa wanachukua simcard wanacopy namba, pia hununua vitabu vya miamala ya pesa kama umetoa kubwa ukasaini Wana nunua wanatoa copy, pia vitabu vya wageni (guest house, walinzi magetini)
Wanaokota simcard then wanacopy numbers, business card au kadi za harusi zilizotupwa, mitandaoni n.k!
 
Mwenye Super feo ni msomi mzuri tu wala hajui uganga ni nini. Wewe ingia kichwa kichwa uingizwe mjini
Hakuna sehemu nilipo andika kuwa nimeingia kichwa kichwa, hebu tulia sipendi mapovu ya kis.en.ge mie
 
Hakuna sehemu nilipo andika kuwa nimeingia kichwa kichwa, hebu tulia sipendi mapovu ya kis.en.ge mie
Hongera kwa matusi. Ila najua kwenye familia yenu yupo mmoja wa kumfaa hilo tusi. Kami sio wewe ni huyo mwingine
 
Back
Top Bottom