Mission iliyopo kwa sasa ni KGB kumalizana na Zelensky

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,701
8,905
Habari,

Zamoto baada ya matukio matatu ya magaidi kuua Raia Urusi na jingine kumuua kiongozi mkubwa wa Jeshi basi Rais Putin ameapa na kusema atalipiza kisasi kwanjia yake ambayo itaishtua Dunia ni swala la muda!

Habari kutoka Kremlin zinasema Rais Putin aliitisha kikao cha dharula na kuwapa jukumu vikosi vyake vya usalama kilichodiliwa ni siri! Ila kwa wachambuzi wanasema ameagiza kichwa cha Zelensky!!

Anakitaka kwa njia yoyote ila kwa maana hiyo operation Zelensky imeanza!

Hili jambo siyo la kushangilia maana hata makombola yatapigwa popote kuanzaia sasa itakapojulikana yupo!
 
Habari,
Zamoto baada ya matukio matatu ya magaidi kuua Raia Urusi na jingine kumuua kiongozi mkubwa wa Jeshi basi Rais Putin ameapa na kusema atalipiza kisasi kwanjia yake ambayo itaishtua Dunia ni swala la muda! Habari kutoka Kremlin zinasema Rais Putin aliitisha kikao cha dharula na kuwapa jukumu vikosi vyake vya usalama kilichodiliwa ni siri! Ila kwa wachambuzi wanasema ameagiza kichwa cha Zelensky!!Anakitaka kwa njia yoyote ila kwa maana hiyo operation Zelensky imeanza! Hili jambo siyo la kushangilia maana hata makombola yatapigwa popote kuanzaia sasa itakapojulikana yupo!

Za ndani ila wewe uko zako buza kwa lulenge unajua
 
Yaaani kwa tangazo hilo..........amehalalisha CIA,MOSSAD,UIA pamoja na uk wamle kichwa kabla ya krisimas...............sasa hivi putin atakaa kwenye handaki mpaka huu mwaka uishe hata kunya atanyea huko huko...........kumuua Zelensky ni kujitakia kifo cha lazima .............
 
Habari,

Zamoto baada ya matukio matatu ya magaidi kuua Raia Urusi na jingine kumuua kiongozi mkubwa wa Jeshi basi Rais Putin ameapa na kusema atalipiza kisasi kwanjia yake ambayo itaishtua Dunia ni swala la muda!

Habari kutoka Kremlin zinasema Rais Putin aliitisha kikao cha dharula na kuwapa jukumu vikosi vyake vya usalama kilichodiliwa ni siri! Ila kwa wachambuzi wanasema ameagiza kichwa cha Zelensky!!

Anakitaka kwa njia yoyote ila kwa maana hiyo operation Zelensky imeanza!

Hili jambo siyo la kushangilia maana hata makombola yatapigwa popote kuanzaia sasa itakapojulikana yupo!

Za ndani ukiwa hapo VIJIBWENI?!
 
Ukiona mpaka kagongwa general wa mipango mingi na taifa kwa ujumla sio mchezo..........tena kauliwa bila kuacha ushahidi kwamba nani kahusika pia sio mchezo........intelligence ya Ukraine ni kubwa sana akisaidiwa na mataifa rafiki....................na pia uwezo anao wa kuthubutu.....
Mzee FSB wasikie redioni.
Kummaliza huyo officer haimaanishi fsb ni weak...
 
Back
Top Bottom