Miss mwenge mwecau

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
2,272
4,716
Hahahaha hivi kumbe bado vyuo vyetu vinatoa mamisi, leo ndo atapatikana miss mwenge university moshi, tukachague huyo miss. Ila naona atashinda magreth massawe.

Pia form6 karibuni mwenge mwecau, mkaribie ni chuo kizuri, mazingira mazuri etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…