Bajet ya nchi ni trilion ishirin na mbili kama ckosei, fedha za ndani ukiweka magufulification factor ni trilion moja na kidogo kwa mwezi, kwa mwaka inaweza kuwa trilion 15 labda, mishahara kwa mujibu wa waziri mwez ulioisha ni karibu nusu ya hela yote, ukiongeza hata asilimia tano unaweza kupata kitu kimoja cha ajabu sana, tena kabla ya kuweka maendeleo, elimu bure nk. Me nadhan kama kuongeza waongeze walimu, manesi na wengine wenye mishahara midogo ila wawaruke polisi manake wameanza kuwa wajinga. Wengineo wenye package kubwa wawaache ila wacontrol inflation.