Mishahara sijasikia kwenye bajeti au likoje

Mshahara unatosha mkuu. Teh teh
Huwa haitangazwi. Angalia fungu la mishahara limeongezeka shilingi ngapi Ukilinganisha na mwaka uliopita ndio ugawanye.
 
Reactions: SDG
Mabadiliko ya mishahara huwa hayatangazwi ktk bajeti
Huwa yanatangaziwa wapi?Huwa wanatangaza ila hawasemi kiasi gani,Mwaka ujao wa fedha hakuna nyongeza ndio maana hawajatangaza
 
Huu ni mwaka wa kujitolea wafanya kazi wote wafanye kazi bila kudai mishahara
 
Na bajeti kesho inapitishwa kiulaini maana mawazo ya wabunge yote yatakuwa kwenye ripoti ya makinikia
 
Mshahara unatosha mkuu. Teh teh
Huwa haitangazwi. Angalia fungu la mishahara limeongezeka shilingi ngapi Ukilinganisha na mwaka uliopita ndio ugawanye.
Fungu limeongezeka kwa sababu kuna vyeo vinashikiliwa na watu wawili, mf. Mungu + Siro na wale wanaosubiri kupangiwa kazi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…