Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 285,689
- 740,592
Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA
Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana
1. Kundi la mwenyekiti
2. Kundi la makamu
Makundi haya kupitia mamluki wa CCM ndio yatagombanishwa siku ya uchaguzi na mambo mawili yanaweza kutoka
1. CHADEMA kupasuka mapande mawili
2. Kundi lenye backup ya CCM kushinda kwa figisu na kingine kuundiwa kesi za uhaini nk
Kilichotokea NCCR- Mageuzi 1994 nadhani pale Tanga kwenye uchaguzi wao ndio kinapangwa kufanywa mwakani January 21 kwenye uchaguzi wao CHADEMA
Jambo moja lililo wazi ni kwamba mazingira na nyakati ni tofauti kabisa na CHADEMA sio NCCR!
Harakati zote,mipango yote ovu kwasasa imeelekezwa CHADEMA na kilele chake ni mwakani January 21.. Mengine yote yamewekwa bench
Kwa kudra za Mwenyezi Mungu na mahitaji ya nyakati. CHADEMA inaweza kumaliza kwa madhara yasiyoumiza sana
Hapa napo kuna mawili
1. Kulaumiana ndani ya CCM kwa kushindwa kukigawa na kukiua CHADEMA.. Yatajitokeza mengi sana hapa
2. Kufanikiwa mpango ovu wa kukigawa CHADEMA.. Then what next? Kukumbuka mlango wa nyuma waliacha wazi na kuruhusu maadui ndani hao kuingia na kujenga himaya
Kufikia hapo hali itakuwa mbaya sana kwa mustakabali wa Tanganyika
S
alama ya CCM kwa sasa ni kuiacha CHADEMA istawi..mipango yote ovu juu ya CHADEMA ina side effects kubwa kwa CCM
Hekima na maono ni muhimu sana kuelekea uchaguzi huu muhimu kwa ustawi na mustakabali wa Tanganyika
huu ni wakati wa Lissu.! Ni muhimu sana kusoma alama za nyakati