Jifunze kwanza majukumu ya Jeshi la wananchi. Inaonekana hufaham hata kazi yaoThe borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.
Au kazi yao ni nini jamani?
Kazi ya kulinda mipaka siyo moja ya majukumu yao?Jifunze kwanza majukumu ya Jeshi la wananchi. Inaonekana hufaham hata kazi yao
Tuanziie hapa kitu feki wewe unakijuaje? Toa mfanoThe borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.
Au kazi yao ni nini jamani?
Kazi yao ni kulinda mipaka, si kuzuia vitu feki mitaani. Kuna mamlaka zinahusika na hayo mamboKazi ya kulinda mipaka siyo moja ya majukumu yao?
Mfano dawa zs binadamu feki mtaani zimejaa kutoka india na uarabuni na zingine zimesha expireTuanziie hapa kitu feki wewe unakijuaje? Toa mfano
Rudi sarasani, tena primary school, kuna somo linahusu hao watu, hicho unachosema cha vitu fake siyo jukumu lao, ni TBSThe borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Si maanishi mtaani. Watu wanapitisha bidhaa hizi kwa njia za u hochoro kuingia nchiniKazi yao ni kulinda mipaka, si kuzuia vitu feki mitaani. Kuna mamlaka zinahusika na hayo mambo
JWTZ na vitu feki wapi na wapi haviingiliani kabisa.The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.
Au kazi yao ni nini jamani?
Mipaka iko wazi mno. Watu wanaingiza bidhaa nchini kwa kupitia uchochoroni na hata wahamiaji haramu hawapitii njia zilizo rasmiJWTZ na vitu feki wapi na wapi haviingiliani kabisa.
Kuzuia vitu feki hiyo ni kazi ya TBS kijana.
Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ili kuzuia maadui,waasi au magaidi wasiingie au wasifanye shambulio nchini na hadi sasa hakuna maadui waliyoingia nchini wakahatarisha maisha ya wananchi
Ndio nimekuambia sasa, kuna mamlaka ina deal na hayo mambo, unaifaham?Si maanishi mtaani. Watu wanapitisha bidhaa hizi kwa njia za u hochoro kuingia nchini
Idara ya usalama wa taifa imelalaThe borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.
Au kazi yao ni nini jamani?
Inawezekana ndio hayo mambo yanatokea lakini si kiasi kikubwa sana mpaka ikaleta kitisho hivyo, suala la uhamiaji haramu ni suala mtambuka hadi ulaya na Marekani wamechoka hoi na ishu hizo na wana teknolojia kubwa sana na vifaa vingi tuMipaka iko wazi mno. Watu wanaingiza bidhaa nchini kwa kupitia uchochoroni na hata wahamiaji haramu hawapitii njia zilizo rasmi
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.
Au kazi yao ni nini jamani?
Ingekuwa katoliki wangekuwa wameshamtangaza kuwa ni mtakatifu na anawaombea huko motoni alipoKipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.