Mipaka ya Tanzania kuna usalama mdogo. Kwanini Jeshi la Polisi lisengeweka kitengo kinaitwa ranger?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,705
Matukio unayosikia ya kutisha kama watu au mtu kuvamiwa na kuuliwa mengi yapo mipakani sababu wahalifu wanapata mwanya mzuri wa kukimbia au kuja.

Jeshi la polisi linatakiwa kuweka kitengo cha polisi kinachoitwa ranger .
majukumu yake ni polisi ambao wapo mipakani tu na vijijini vilivyo na mapori ya mapaka.

Ili nimeliona nchi kama USA ambapo askari hawa uwezi kumuona mjini wala vijiji vikubwa. Yeye ni mapori ya mipaka na mabarabara ambayo hakuna huduma.
 
Back
Top Bottom