Kwa wanaonielewa, hivi mineral royalty rate ni ngapi kwa sasa duniani?
Ila kwa kumbukumbu zilizoziona, ni kati ya 2.5% na 5% inategemeana na kiwango cha Gold kwenye mchanga.
Sasa kwa kupewa 4% sijui kama tulikuwa tunadhurumiwa.
Kimsingi, mapambano yetu yangehusika sana kwenye
Mineral royalty rates.
Ni mawazo yangu tu.
Soma hapa: Mineral royalty rates | Business Queensland