Mimi nikimwangalia mtu miguuni jinsi alivyovaa viatu na kichwani jinsi alivyo napata jibu moja kwa moja naongea na mtu wa namna gani

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
15,110
43,997
Kujua mazingira ya mtu anayoishi.

Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.

Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.

Wewe unatazama nini?
1729920609230.jpg

1729920987664.jpg
 
Oooh umenikumbusha dada mmoja miaka ile 2000 mwanzoni. Kaenda mlimami city kaingia duka wanauza jewelry akawa anashangaa na kuuliza uliza. Mara wale wadada wakawa wanamjibu kwa dharau na hasira huku wakiongea wakimkata jicho kali kuwa weee bibie msumbufu bwana.
Alivyona dharau zimezidi akaagiza cheni, hereni, kikuku, kazilipa huyo akatoka zake.
Wale wadada wauzaji wamebaki wametoa macho.
Usipime mtu kwa muonekano.
 
Mlimani city mwanzoni mwa miaka ya 2000???
Mlimani city ilianza utawala wa JK
 
Back
Top Bottom