Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,470
- 29,299
Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza
Ukwel Yanga wanaifanya ligi ionekane haina ushindani, TFF liangalieni hili Yanga wana haribu Ligi, ivi vitimu vya nafasi ya tatu na ya pili vinaonekana havipo serious - maana vyenyewee vinagombea nafasi ya pili na ya tatu na vinaona raha