Muda mwingine nakaa na kufikiria sana lakini najikaza kiume
Yaani Iko hivi, hapo katikati nilipataga shida ya kiafya hivyo mshahara ulistopishwa kwa sababu ugonjwa niliupata nikiwa likizo hivyo sikuwa na ruhusa ya barua ofisini kuwa naumwa hivyo nikatuhumiwa kwa utoro kazini na mshahara ukasimamishwa.
Lakini kwa neema ya Mungu nikarejeshwa kazini na barua ya maamuzi nikapewa lakini tangu nimepewa barua na kurudi kazini ni miezi almost 8 Sasa bila mshahara nimejaribu kufuatilia TSC na kwa maafisa utumishi lakini nao imekuwa Kila mwezi wananishangaa kuwa hawajui kwanini licha ya kuwa taarifa zinatumwa Kila mwezi.
Hivi kwa wazoefu hapa natokaje maana Hali ni Tete madeni nimekopa Kila Kona Hadi wa kuwakopa wameisha na ukizingatia nina familia ya mtoto mchanga.
Hali ni Tete wakuu
Pia soma: MREJESHO: Mimi ni mwalimu huu ni mwezi wa nane mshahara hauingii na nipo kituoni